Habari za jumla

Trends.earth ilizalishwa kama sehemu ya mradi wa "kuwezesha matumizi ya vyanzo vya data duniani kupima na kufuatilia uharibifu wa ardhi (mazingira) katika ukubwa tofauti tofauti ", ukifadhiliwa na Global Environment Facility yaani Taasisi ya Mazingira Duniani.

Kuwasiliana na timu ya Itrends.earthI

Wasiliana na timu ya Trends.Earth <mailto: trends.earth@conservation.org> kwa kutoa maoni au mapendekezo yoyote. Kama una taarifa za kuripoti juu ya virusi au kupendekeza kuhimarishwa kwa chombo hiki unaweza kuwasilisha kwenye tracker ya Github kwa Trends.Earth.

Waandishi

Mradi wa Ufuatiliaji wa Uharibifu wa Ardhi ni ushirikiano wa shirika la Conservation International, Chuo Kikuu cha Lund, na National Aeronautics and Space (NASA), na unafadhiliwa na Global Environment Facility (GEF)/ Chombo cha Mazingira Duniani.

Wachangiaji katika uandishi wa nyaraka za Itrends.earth| ni pamoja na Yengoh Genesis, Lennart Olsson, Mariano Gonzalez-Roglich, Monica Noon, Tristan Schnader, Anna Tengberg, na Alex Zvoleff.

../_images/Logos_All_Partners.png

Trends.Earth inatumia Google Earth Engine kupitia mtandao kukokotoa viashiria vya uharibifu wa ardhi.

../_images/logo_earth_engine.png

Shukrani

Maoni yaliyotolewa na watumiaji wa awali wa Trends.Earth na washiriki kwa njia ya video na warsha zilizofanywa na Mradi wa Ufuatiliaji wa Uharibifu wa Ardhi ya GEF zimekuwa muhimu kwa maendeleo ya chombo hiki.

Neil Sims, Sasha Alexander, Renato Cumani, na Sara Minelli walitoa mapendekezo juu ya utekelezaji wa viashiria vya SDG 15.3 na LDN vya uharibifu wa ardhi katika Trends.Earth, juu ya muundo wa chombo, na mchakato wa kuripoti kwa UNCCD, na pia walitoa mapendekezo ya awali na kujaribiwa kwa utendaji kazi wa chombo.

Mradi unawatambua washiriki wa semina iliyofanyika Morogoro, Tanzania Oktoba, 2017 kwa kutoa mrejesho na maoni yao juu ya chombo hiki: Jones Agwata, Col. Papa Assane Ndiour, Lt Fendama Baldé, Papa Nékhou Diagne, Abdoul Aziz Diouf, Richard Alfonce Giliba, Moses Isabirye, Vettes Kalema, Joseph Kihaule, Prof. DN Kimaro, James Lwasa, Paulo Mandela, Modou Moustapha Sarr, Joseph Mutyaba, Stephen Muwaya, Joseph Mwalugelo, Prof Majaliwa Mwanjalolo, Edson Aspon Mwijage, Jerome Nchimbi, Elibariki Ngowi , Tabby Njunge, Daniel Nkondola, Blaise Okinyi, Joseph Opio, Rozalia Rwegasira, Ndeye Kany Sarr, Mamadou Adama Sarr, Edward Senyonjo, Olipa Simon, Samba Sow, Felly Mugizi Tusiime na John Wasige.

Citation

Ikiwa ungependa kutaja | trends.earth |, tafadhali tumia funguo ifuatayo:

Mwelekeo. Uhifadhi wa Kimataifa. Inapatikana mtandaoni kwa: `http://trends.earth <http://trends.earth> `_. 2018.

Leseni

Trends.Earth ni bure and huru kwa waendelezaji wa chombo hiki. Kimeundwa chini ya mpango wa Leseni Huru kwa Umma yaani GNU General Public License, toleo 2.0 au zaidi.

Tovuti hii na vitu vyote vya Trends.Earth hupatikana chini ya masharti ya Leseni ya Kimataifa ya Creative Commons Attribution 4.0 (CC BY 4.0). Mipaka ya matumizi na majina yaliyotumika katika Trends.Earth haimaanishi vimeidhinishwa rasmi au kukubaliwa na Conservation International Foundation, au mashirika washirika wake na wachangiaji.